Baadhi ya raia wa Tanzania wanaotamani kuandamana hapo kesho kupinga kile wanasema ukandamizaji unaoendelea, sasa wanahofia ...
Hofu ya ghasia na kumbukumbu za mauaji yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba mwaka jana zapunguza matarajio ya kufanyika kwa maandamano yaliyopangwa Julai 7 nchini Tanzania.
Rais Samia akemea vikali vitendo vya uvunjifu wa sheria vilivyotokea wakati wa Uchunguzi Mkuu. Na Waandishi wa BBC Chanzo cha picha, Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa ametoa ujumbe ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo ameliambia bunge kwamba tume ya uchunguzi inaundwa kuchunguza mauaji yaliyotokea wakati wa uchaguzi ambao ulimrejesha madarakani. Rais huyo amesema anatambua ...
Ingawa Tume hiyo inasema kuwa bado haifahamu ukubwa wa tatizo, lakini inaisitiza kwamba matokeo ya uchunguzi huo yanaweza kukamilika chini ya miezi miwili. Na Mariam Mjahid & Asha Juma Chanzo cha ...
Katika hotuba iliyotolewa siku ya Jumamosi, Novemba 15, Sheikh Issa Ponda "alilaani vikali" "mauaji ya watu wasio na hatia wakati wa uchaguzi." Kauli hii inathibitisha zaidi ukubwa wa ukandamizaji ...